Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA Tundu Lissu, Jumatatu amepandishwa kwa mara ya kwanza kwenye Mahakama Kuu kunakosikilizwa kesi ya uhaini inayomkabili. Kesi hiyo hata ...
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, chadema-Tundu Lissu amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambako kesi yake ya uhaini na uchochezi zikisikilizwa katika mahakama ya ...